Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Joannes Karungura akizungumza na Wakuu wa Kampuni za Mawasiliano juu ya kuboresha huduma vifurushi vya Bando ikiwa ni agizo la Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ya Mamlaka hiyo kukutana na wadau hao kujadili namna ya kuboresha vifurushi vya Bando, leo Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...