Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali
wakati wa uwasilishaji taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Shirika la
Viwango Tanzania (TBS) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,
Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuph Ngenya akiwasilisha taarifa ya
utekelezaji wa majukumu ya TBS kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,
Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akijibu
hoja mbalimbali zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni
Dodoma, Januari 25,2021.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Askofu Josephat Gwajima
akichangia baadhi ya hoja zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira
Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. David Mwakiposa Kihenzile akiongoza kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Picha zote na Eliud Rwechungura.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...