Kamishna wa Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamaja akimkabidhi Mkuu wa Mipango na Uwekezaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hilda Bujiku tuzo ya mshindi wa kwanza kwa uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statement for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Home
HABARI
Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya kwanza ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...