Mshindi wa tano wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena, William Mpachilla mkazi wa Ipagala mjini Dodoma akifungua mlango wa gari mpya aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia nyuma kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Mhe. Josephat maganga na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...