Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) akijibu hoja wakati wa Kupokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) akijibu hoja wakati wa kupokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kulia kwake ni Mhe. William Tate ole Nasha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye shati la njano) akiongoza kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje kilichofanyika katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...