Mkurugenzi Mkuu wa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) Dkt. Pancras
Bujulu akisoma risala ya kumkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa China
Mhe. Wange Yi kufungua Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Chato Mkoani
Geita mara tu baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Siku mbili leo
Jumatano Januari 17, 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako
wakifunua pazia kuashiria kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)
Chato mkoani Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku
mbili leo Jumatano Januari 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Bw. Peter Maduki
(kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)
Chato mkoani Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku
mbili leo Jumatano Januari 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Bw. Peter Maduki
(kushoto) na Balozi wa China nchini Mhe. Wange Ke wakiondoka baada ya
kukata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Chato mkoani
Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili leo
Jumatano Januari 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wange Yi akizungumza
na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Chuo
cha Ufundi Stadi (VETA) cha Chato Mkoani Geita mara tu baada ya
kuwasili nchini kwa ziara ya Siku mbili leo Jumatano Januari 17, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...