Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanali. Martin Msumari akitoa tarifa ya michezo kwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana akifungua Mkutano wa siku mbili wa Kamati Tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania wakifuatiklia hutuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (hayupo pichani.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...