Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wapili kulia) akimkabidhi zawadi Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma Bi. Agness Mnyela (Wapili kushoto) katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi huyo iliyofanyika katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, Bi. Agness Mnyela (Hayupo pichani). Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, Bi. Agness Mnyela (Hayupo pichani). Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wapili kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Emmanuel Kayuni (Wakwanza kulia), pamoja na baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Wizara ya ,Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kumpongeza Bi. Agness Mnyela, aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, Bi. Agness Mnyela (Hayupo pichani). Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, Bi. Agness Mnyela (Hayupo pichani). Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Meza kuu) akizungumza na baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo, walipokuwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mtumishi aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, Bi. Agness Mnyela (Hayupo pichani). Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...