Kitoweo pendwa hasa kipindi hiki cha mwanzo wa Mwaka ni Dagaa ambazo hutumiwa kama mboga kuu ukiachana na Kabichi na sukuma wiki zikiwa sokoni Ubungo jijini Dar es salaam na gharama zake zinaoneokana hapo katika kila meza kwa ujazo wa kilo moja na utofauti wa ubora na sehemu zinakotoka.
(Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii)
Bei ya Mayai kama inavyoonekan pichani katika sokoni la Ubungo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...