Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Younouss Djibrine akimkabidhi kompyuta mpakato kwa mmoja wa Mameneja wa Posta wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, wa tatu kulia ni Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wa pili kulia ni Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.
Baadhi ya mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza Waziri wa wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile alipokuwa akifungua rasmi kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula na Naibu wake Dkt. Jim Yonazi akimkabidhi kompyuta mpakato kwa mmoja wa Mameneja wa Posta wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma
akizungumza katika kabla ya kufungwa kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akikabidhi kompyuta mpakato kwa Meneja Mkaazi Zanzibar wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, kulia Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula akizungumza katika kabla ya kufungwa kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...