Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM. kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abubakar Kunenge baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...