Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Marwa (kulia), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...