Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akikabidhiwa Meza na Viti 100 na Meneja wa TIB Kanda ya Ziwa Ndg. Emmanuel Bushiri katika Viwanja va Halmashauri Missenyi.
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akitoa neno Mara baada ya Kupokea na kukabidhi Meza na Viti 100 kwa Halmashauri ya Wilaya Missenyi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...