Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo mbele ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi jana tarehe 25 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yamewashirikisha viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).Kulia ni Mwenyekiti wa mafunzo hayo Bi. Hollo Kazi.
Kaimu Msajili Msaidizi anayeshughulikia Uchaguzi na Ruzuku, Bi. Hollo Kazi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).Kushoto ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Bw. Sisty Nyahoza.
Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Maajaliwa Kyara akichangia mada \wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).
Mhasibu waa Chama cha Kijamii (CCK), Bibi…… akichangia mada \wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK). Picha na ORPP
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...