
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya
 Ndani ya Nchi George Simbachawene wakati akiweka jiwe la msingi la 
ujenzi wa Kiwanda cha Ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi Kurasini 
mkoani Dar es Salaam leo 26 Februari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya 
Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam 
mara baada ya kuyafungua leo tarehe 26 Februari 2021. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi 
George Simbachawene akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la 
msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na 
kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi 
Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. PICHA NA 
IKULU 
Mabweni
 ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam kama 
yanavyooekana mara baada ya kufunguliwa leo tarehe 26 Februari 2021 na 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe 
Magufuli
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini 
(IGP) Simon Sirro akizungumza kwenye mkutano mara baada ya Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli 
kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi
 la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma 
cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. 


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...