RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisistiza jambo wakati
akizundua APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR MWINYI ) uliofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika
jana usiku 27-2-2021.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI ) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku, wakimsikiliza Mkurugenzi wa RAHISI Bw, Abdulrahman Hassan (hayupo pichani) akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na kuwasilisha malalamiko yako kwa Taasisi husika.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akizungumza kabla ya
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi kuizindua APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR
MWINYI) hafla hiyo imefanyika jana usiku katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama
Mariam Mwinyi wakisalimiana Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Bi.
Suzan Kunambi, Mkurugenzi wa Rahisi Bw.Abdulrahman Hassan na Mkurugenzi
wa Com.Net.Bw.
Mohammed Othman, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais
Mwinyi ( SNRMWINYI ) iliozinduliwa jana usiku 27-2-2021.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya
Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR MWINYI ) wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua APP ya SNRMWINYI, katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku
27-2-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti
wa Rahisi Mhe. Toufiq Salim Turky, baada ya uzinduzi wa APP ya Sema na
Rais Mwinyi kuwasilisha Kero za Wananchi kupitia njia ya Simu za
mikononi kutuma ujumbe wao na kuwafikia wahusika, na (kulia kwa Rais)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais)
Mkurugenzi wa Rahisi Bw. Abdulrahman Hassan na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na
Ikulu)RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akiwa amesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde kuhudhuria Uzinduzi wa APP ya SNRMWINYI, wakati ukipigwa Wimbo wa
Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa
Rahisi.Bw. Abdulrahman Hassan na Mkurugenzi Com.Net.Bw. Mohammed Othman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...