RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo (kushoto kwa Rais) akiwa
na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo
yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa Kitabu cha Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na
Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017/2022 akikabidhiwa na
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, baada ya
kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kujitambulisha hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi
Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiongozana na Ujumbe wake na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA Bw. Makame Kh. Hassan (kushoto kwake)
mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na
Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Brigedia Jenerali John Mbungo, baada ya kumaliza mazungumzo yao
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo
25-2-2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...