Henry Kinabo - Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini. “TUMEDHAMINI #TigoKiliHalfMarathon kwa kipichi cha miaka sita mfululizo sasa hivyo tumeona ni vyema kurudisha kwa jamii kwa kushikiriana na @voewofo kupanda miti 10,000 itayochangia kulinda theruji ya Mlima Kilimanjaro”
#TigoGreenForKili #TigoKiliHalfMarathon2021

Henry Kinabo - Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini. “TUNATAMBUA umuhimu wa Mkoa wa Kilimanjaro katika uchangiaji wa uchumi na ustawi wa nchi yetu kwa ujumla. Tunayo furaha kushikirikiana na taasisi ya @voewofo kupanda miti 10,000 katika wilaya ya Hai na Siku moja kabla ya mbio za #TigoKiliHalfMarathon2021 tutazindua zoezi zima la upandaji miti hii ya #TigoGreenForKili



Asifiwe James - Mkurugenzi @voewofo “TUNASHUKURU sana @tigo_tanzania kwa kutuamini sisi kutunza miti hii 10,000 ambayo tutahusika kusimamia upandaji na utunzaje wake katika wilaya hii ya Hai.”

Benson Ndosi - Mwenyekiti wa Kitongoji cha Maiputa, Wilaya ya Hai.“TUNASHUKURU sana kwa ujio wa @tigo_tanzania na taasisi ya @voewofo kwa kutufikia na mradi huu wa #TigoGreenForKili kuleta miti 10,000 na zoezi hili lina tija sana kwenye eneo hili la Boroti.Nawaomba wananchi wajitokeze kwa ajili ya kushiriki #TigoGreenForKili ili tuendelee kuutunza Mlima Kilimanjaro”

TIGO GREEN FOR KILI - Miti 10,000 kupandwa katika Wilaya ya Hai, pembezoni mwa Mlima Kilimanjaro ili kusaidia kurudisha theruji ya Mlima mrefu zaidi barani Afrika #TigoGreenForKili kwa ushirikiano na taasisi ya @voewofo ikiwa kama sehemu ya kurudisha kwa jamii ambayo Tigo imeshirikiana nayo kwa miaka sita mfululizo kupitia udhamini wa mbio za #TigoKiliHalfMarathon
TIGO GREEN FOR KILI - Miti 10,000 kupandwa katika Wilaya ya Hai, pembezoni mwa Mlima Kilimanjaro ili kusaidia kurudisha theruji ya Mlima mrefu zaidi barani Afrika #TigoGreenForKili kwa ushirikiano na taasisi ya @voewofo ikiwa kama sehemu ya kurudisha kwa jamii ambayo Tigo imeshirikiana nayo kwa miaka sita mfululizo kupitia udhamini wa mbio za #TigoKiliHalfMarathon





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...