Kunako Ligi Soka nchini Uholanzi Ijumaa hii, RKC Waalwijk
atachuna na FC Emmen. Kupitia
Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa RKC Waalwijk kama mwenyeji wa mchezo huu.
Kule mchini Italia kwenye Serie A, Bologna atachuana
na Benevento katika
muendelezo wa ligi hiyo leo usiku. Unaweza kupata faida kwa Odds ya 1.85
waliyopatiwa Bologna kwenye Meridianbet.
Jumamosi hii moto utawaka pale King Power Stadium. Leicester City
kuwakaribisha Liverpool. Timu ya 3 dhidi ya 4 kwenye msimamo wa EPL. Meridianbet
tumekupa Odds ya 2.25 kwa Liverpool kwenye mchezo huu.
Kule kwenye La Liga, Granada atachuana
na vinara wa ligi – Atletico Madrid. Atletico anakila sababu ya kuzitafuta pointi 3 muhimu wakati huu
ambao wamepishana pointi chache na majirani zao, Real Madrid. Hapa kuna Odds ya
1.80 kwa Atletico kupitia Meridianbet.
Mtanange mwingine wa kukata na shoka Jumamosi
hii ni Napoli vs
Juventus kwenye Serie A.
Matokeo ya ushindi ndio kitu cha msingi kwa timu zote mbili kwenye mchezo huu.
Vita yao ni faida kwako, kuna Odds ya 2.10
kwa Juventus kutoka Meridianbet.
Jumapili hii kwenye EPL ni Arsenal vs Leeds, timu zote bado zinajitafuta katika msimamo
wa EPL lakini zinapokutana ni habari nyingine. Hapa kuna Odds ya 1.90 kwa
Arsenal kupitia Meridianbet.
Vilevile, pale Etihad Stadium, Manchester City
atawakaribisha Tottenham Hot Spurs. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.33 kwa City kwenye mchezo huu.
Kwenye Serie A ni Inter Milan vs Lazio Jumapili hii, vijana wa Conte wanaendelea
walipoishia msimu uliopita. Mbio za kuisaka Scudetto zinazidi kushika kasi. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.80 kwa Inter.
Jumatatu ni Verona vs Parma, huu ni mchezo
unaoweza kukupatia faida endapo utaitumia Odds ya 2.10
waliyopatiwa Verona kwenye mchezo huu kupitia Meridianbet.
Kwenye La Liga, Cadiz
watawakaribisha Athletic Bilbao siku ya
Jumatatu. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa Bilbao kwenye mchezo huu.
Tengeneza faida kupitia Odds kubwa kwenye Meridianbet wiki hii. Bofya hapa kuingia mchezoni https://mrdn.co/specialodds
EPL wiki hii sio mchezo
ReplyDelete