Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha uongozi na itikadi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha Emmanuela Kaganda akitoa taarifa ya mradi kwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah (kulia) pamoja na wajumbe wa baraza hilo walipotembelea kujionea ujenzi wa chuo hicho.
Naibu katibu mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo (aliyesimama) akitoa maelekezo wakati wajumbe wa baraza la wadhamini la CCM walipokwenda kutembelea na kujionea maendeleo ya ukamilishaji wa ujenzi wa Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere, kilichopo Kwamfipa,Kibaha, Mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah (aliyesimama) akizungumza jambo wakati alipoambatana na wajumbe wa baraza hilo ,kwenda kutembelea na kujionea maendeleo ya ukamilishaji wa ujenzi wa Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kwamfipa Kibaha, Mkoani Pwani, wa kwanza kulia aliyekaa ni Msimamizi wa mradi huo ,Emmanuela Kaganda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...