Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (Kushoto) akibadilishana mawazo na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga huku akimkaribisha kushiriki katika ibada ya Jumatano ya Majivu, Leo Februari 16, 2021 katika makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kushoto) akifurahia jambo na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga (katikati) baada ya kupata Baraka na chai ya pamoja katika makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe. Leo Februari 16, 2021. Kulia ni Ivo Ndisanye Katibu wa Mbunge wa jimbo la Karagwe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga (katikati) na Ivo Ndisanye Katibu wa Mbunge wa jimbo la Karagwe (kushoto) baada ya kutembelea makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe. Leo Februari 16, 2021

Picha na Eliud Rwechungura

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...