Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akikabidhi bendera kwa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na benchi la ufundi na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiongea na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Wachezaji wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ wakiwa katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya michezo nchini, Yusuph Singo akiongea na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini lMauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena – Dar es salaam Leo Februari 11,2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...