Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima,jana ametembelea ofisi za Taasisi ya Tafiti na Uchunguzi ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) iliyopo mabibo kukagua ujenzi wa kiwanda Cha kutengeneza dawa za Binadamu kwa kutumia miti dawa pamoja na kuongea na watumishi wa Idara hiyo iliyopo eneo la mabibo jijini Dar es Salaam.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...