Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT – Wazalendo) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi yaliyofanyika mapema hivi karibuni katika ukumbi wa Samwel Sitta Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia waliokaa ni Mkuu wa Idara ya Uchaguzi na Ruzuku, Bi. Hollo Kazi, Katibu Mkuu wa ACT- Wazalendo, Ado Shaibu na Kaimu Mwenyekti wa chama hicho, Dorothy Semu. (Picha na ORPP)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...