Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiongozana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala(kushoto) baada ya idara nne za wizara hiyo kuwasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama leo kwenye Ofisi za Bunge jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kaimu Mkuu wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi,Naibu Kamishna Lucas Mkondya akiwasilisha Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Jeshi la Polisi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Kamishna wa Magereza,Jeremiah Katungu akiwasilishaTaarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Jeshi la Magereza kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Idara ya Uhamiaji ,Edward Chogelo akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama, Mussa
Zungu akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo Pamoja na watumishi wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi(hawapo pichani), wakati wa Uwasilishaji
wa Taarifa za Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya wizara hiyo leo
jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...