Taarifa zinaeleza kuwa mbwa hao wawili wamerudishwa nyumbani wiki iliyopita, kutokana na wafanyakazi wa Ikulu kutovutiwa na uwepo wao katika eneo hilo ikiwemo tukio la kung'ata mtu.
Mbwa mmoja anaefahamika kwa jina la Major amekuwa na tabia ya kurukiarukia watu na kuwafokea wafanyakazi wa Ikulu wakiwemo walinzi.
Major mwenye miaka 3 alichukuliwa kwenye eneo la kufuga mbwa huko Delaware mwaka 2019.

Champ amekuwa hapati matunzo mazuri, hivyo amerudishwa Wilmington, Champ ana umri wa miaka 13 ikiwa pia ni sababu kubwa iliyofanya arudishwe nyumbani.
White House kutokuwa na mbwa kwa sasa itakuwa kama ilivyokuwa kipindi cha Donald Trump, A no pet zone .
Haiko wazi kama mbwa hao Major na Champ ndio wameondolewa moja kwa moja Ikulu au watarudishwa.
Endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu kwa stori zaidi
#ChaguaKupambana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...