Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...