Mjumbe Maalum wa Rais wa China ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la China Mhe.CAI DAFENG amefika Ubalozi wa Tanzania Beijing kuwasilisha salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Samia Suluhu Hassan na watanzania wote kufuatia Msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17,2021 mkoani Dar es Salaam.

Mjumbe Maalum wa Rais wa China ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la China Mhe.CAI DAFENG amefika Ubalozi wa Tanzania Beijing akisaini kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasilisha salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17,2021 mkoani Dar es Salaam.




Mjumbe Maalum wa Rais wa China ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la China Mhe.CAI DAFENG akizugumza jambo na Balozi wa Tanzania mjini Beijing Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki mara baada ya kuwasilisha salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17,2021 mkoani Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...