MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi wa Amka
Mwanangu Soma kwa Bidii wa Jumuiya ya Rafiki wa Wanawake na Watoto
Zanzibar (RAWWAZA) na Mshika Fedha wa Taasisi hiyo Bi, Valeria Rashid
Haroub, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip
Malindi Jijini Zanzibar jana usiku 7-3-2021.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wabunge na Viongozi wa
mbalimba na Wananchi wakifuatilia Uzinduzi wa Mradi wa Amka Mwanangu
Soma kwa Bidii, wakati Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kuuzindua Mradi huo jana usiku 7-3-2021,
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Jijini Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akikabidhiwa Risala ya Jumuiya ya Rafiki wa Wanawake na
Watoto Zanzibar (RAWWAZA) na Katibu wa Jumuiya hiyo Bi. Tatu Hussein
Abdalla, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Amka Mwanangu Soma kwa Bidii,
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi
Jijini Zanzibar jana usiku 7-3-2021.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akihutubia na kuzindua Mradi wa Amka Mwanangu Soma kwa
Bidii Ili Kutengeneza Kesho Yako, mradi huo wa Jumuiya ya Rafiki wa
Mwanamke na Watoto Zanzibar.(RAWWAZA) uzinduzi huo umafanyika jana usiki
7-3-2021 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Jijini
Zanzibar na (kushoto kwake) Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Bi.
Suzan Kunambi na Mwenyekiti wa Jumuiya Rafiki wa Wanawake na Watoto
Zanzibar (RAWWAZA) Mhe. Tauhida Cassian Gallos.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akikabidhiwa Jahazi iliotolewa na Jumuiya ya RAWWAZA kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein
Ali Mwinyi, akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Amka Mwanangu
Soma kwa Bidii Ili Kutengeneza Kesho Yako, hafla hiyo imefanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu) MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akionesha Tunzo aliyokabidhiwa
na Jumuiya ya Rafiki wa Wanawake na Watoto Zanzibar ( RAWWAZA) ya
‘Kumpongeza Mama Mariam Mwinyi Kwa Kuungana Nasi Zidi ya Kuwapigania
Wanawake na Watoto Zanzibar’ baada ya kukabidhiwa na Walezi wa Jumuiya
hiyo Mhe. Taufik Salim Turky na Mhe Faharia Khamis Shomar. Wakati wa
uzinduzi wa Mradi wa Amka Mwanangu Soma kwa Bidii Ili Kutengeneza Kesho
Yako.(Picha na Ikulu)
KIJANA Suleiman Said Humoud
akitowa ushuhuda yaliomkuta wakati akitumia dawa za kulevya na athari
alizozipata wakati wa matumizi hayo na kupata msaada kupitia Jumuiya ya
Rafiki wa Wanawake na Watoto Zanzibar( RAWWAZA) na sasa ameachana na
matumizi ya Dawa za Kulevya, akitowa maelezo wakati wa hafla ya Uzinduzi
wa Amka Mwanangu Soma kwa Bidii, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Malindi Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...