Mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukielekea katika Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya kupumzishwa baada ya shughuli ya kuaga kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dodoma leo tarehe 22 Machi, 2021.








 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MUNGU atupe Strength kuweza kupambana na Hali hii ngumu,
    MUNGU ampumzishe kananda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...