RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kwa
ajili ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba akiwa na
Mwakilishi wa Mfadhili wa ujenzi huo Bw. Homoud Mohammed,hafla hiyo
imefanyika leo 12-3-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
kuagana na Viongozi na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na
kuzungumza na Waumini wa Kiislam wa Masjid Taqwa Gombani baada ya
kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na kuufungua rasmis Msikiti huo leo
12-3-2021.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali
Mwinyi akikata utepe kwa ajili ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Gombani ya
Kale Pemba Wilaya ya Chakechake (kulia kwa Rais) Mwakilishi wa Mfadhili
wa Ujenzi wa Msikiti huo Bw. Humoud Mohammed na Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi.(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
Mwakilishi wa Mfadhili wa ujenzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale
Pemba.Bw. Humoud Mohammed alipowasili katika viwanja vya Msikiti huo kwa
ajili ya ufunguzi uliofanyika leo 12-3-2021. Kabla ya Sala ya
Ijumaa.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...