RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
kuwasalimia Waumini wa Msikiti Mabuluu Mfereji wa wima Wilaya ya Mjini
Unhuja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti huo leo.5-3-2021.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislam
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia
Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti Mabuluu Mfereji wa Wima, Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa
na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika
kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mabuluu Mfereji
wa wima Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Msikiti
Mabuluu Mfereji wa wima Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kumalizika kwa
Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 5-3-2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...