Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bw. Munir Daya akitowa maelezo ya Kitabu cha Jumuiya hiyo kabla ya kumkabidhi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.na (kulia kwake) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithan Sheri Afrika kutoka Kampala Uganda Alhajj Shabir Najafi na Mamamu Mwenyekiti wa Bw. Aunali K.Khalfan.
(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithan Sheri walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu na (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna Sheri Afrika Alhaj Shabir Najafi kutoka Kampala Uganda akiongozana na Ujumbe huo.
(Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...