RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya
utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu
Wakuu,ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni
na Michezo Zanzibar Bi. Fatma Hamad Rajab (hayupo pichani) wakati wa
mkutano huo wa Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia uwasilishwaji
wa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na
Makatibu Wakuu wakati wa kuapishwa katika viwanja vya Ikulu,
ikiwasilishwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar
Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kushoto kwake) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Ndg. Khamis Abdalla Said, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...