RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati alipowaapisha, ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi, wakati wa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maagizo aliyoyatowa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha, mkutano huo umefanyika katiuka ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Ndg.Thabit Idarous Faina, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-3-2021 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza wakati wa mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...