RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Helping Hand for Relief and Development
Tanzania.Sheikh.Yasser Salim Awadh, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na
kujitambulisha na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo
yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya
Kazi za Helping Hand for Relief of Development Tanzania na Mwenyekiti wa
Bodi Sheikh Yassir Salim Awadh, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Helping Hand for Relief of
Development Tanzania, ukiongoza na Mwenyekiti wa Bodi Sheikh.Yassir
Salim Awadh (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...