RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia muktasari wa 
taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na 
Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha, ikiwasilishwa na Waziri wa Ujenzi 
Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali, mkutano huo 
umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi 
Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, akiwasilisha 
taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais alilyoyatoka kwa Mawaziri na 
Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano 
huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto) 
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena 
Ahmed Said.(Picha na Ikulu) 

WAKUU wa Idara na Taasisi za 
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, wakifuatilia taarifa 
ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha kwa 
Mawaziri na Makatibu Wakuu, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya 
Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, wakati wa
 mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha 
na Ikulu) 



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...