Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman
Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo
Machi 25, 20121

Joseph, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa heshima zake za mwisho katika
Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli  katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita
leo Machi 25, 20121
Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini
 Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja
wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

PICHA NA IKULU

















 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...