Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM, leo jioni wamejitokeza katika viunga vya barabara za Chuo hicho wakati mwili wa aliyekua Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli ukipitishwa kwenye Chuo hicho kuekekea Hospitali ya Benjamin Mkapa kuhifadhiwa.

Mwili wa Dk Magufuli umehifadhiwa katika Hospitali hiyo ambayo iko ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha UDOM hadi kesho asubuhi utakapochukuliwa kupelekwa uwanja wa ndege kuelekea visiwani Zanzibar ambapo wananchi wa huko watapata fursa ya kumuaga mpendwa wao.









 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...