Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikaino wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akiwa kwenye Mkutano wa Mawaziri unaofanyika jijini Dar es Salaam kwa njia ya video Conference.






Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Profesa Palamagamba Kabudi (katikati), Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Nassor Ahmed Mazurui (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge (kushoto) wakiwa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC ulioanza leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya Video Conference.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...