Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China
hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang
wakwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa
nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang
akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dodoma leo
tarehe 21 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...