Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama (kushoto), Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (wa
pili kushoto) na Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas
Ndumbaro, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...