Balozi mdogo wa China Shang Shisceng akimpazawadi ya Vitabu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fenda na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali baada ya mazungumzo yao..
Picha na Makame Mshenga.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim 
Ali akizungumza na Balozi mdogo wa China Shang Shisceng kuhusu 
uboreshwaji wa udhamini wa masoma nchini China walipokutana Ofisini 
kwake Vuga Mjini Zanzibar. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali
 akifafanua kitu wakati wa mazungumzo yake na Balozi Mdogo wa China 
Shang Shisceng Ofisi kwake Vuga.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...