Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika kwa mazungumzo na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...