.Viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja wakionyesha kitabu maalum chenye ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 ambazo zitazinduliwa Mkoa wa kusini Unguja Mwehe tarehe 17 Mei 2021 na kilele cha mbio hizo kufanyika mkoani Geita tarehe 14 oktoba 2021,kauli mbiu kwa mwaka huu ni “Tehama ni msingi wa Taifa Endelevu ,itumie kwa usahihi na Uwajibikaji”
Kaimu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Lela Muhamed Mussa
akisoma taarifa maalum kwa vyombo vya habari juu ya suala zima la
Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kufanyika katika Uwanja
wa Mwehe Makunduchui Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 17 Mei 2021 ambapo
kauli mbiu ni “Tehama ni msingi wa Taifa Endelevu, itumie kwa usahihi na
Uwajibikaji” hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya
kale Kikwajuni Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...