.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said
akimkabidhi tunzo ya chemchem ya Elimu Mkuu wa Chuo cha ZU Injini Doktor
Abdulqadir Othman Hafiz.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed katika picha ya pamoja na menejmeti ya Chuo Kikuu cha Zanzibar pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi.
Wanafunzi wakingia kwa maandaano kwenye eneo yalipofanyika mahafali ya kumi na nane ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said akiwahutubia wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati wa Mahafali ya 18 ya chuo hicho yaliyofanyika Tunguu Mkoa Kusini Unguja.
Baadhi ya wahitimu wa kada ya uguzi ngazi ya Diploma wakila kiapo cha utii katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar
Picha na Makame Mshenga

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...