Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Katibu Mkuu na Naibu Makatibu Wakuu  pamoja na Watendaji Waandamizi wa Wizara hiyo katika kikao cha kazi kilichofanyika  kwenye  ukumbi wa Hazina  Jijini Dodoma, Mei 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...