Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson(kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (kulia), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akiwa katika picha ya Pamoja  na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati)baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika leo jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...