RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Vitabu vya Ripoti ya Uchunguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu Zanzibar,baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2021.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Viongozi wa Serikali (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa taarifa ya ripoti ya hesabu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar,hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ni Vitabu vya Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu.



BAADHI ya Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumushi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Hesabu za Serikali na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar.Dkt.Othman Abbas Ali, hafla hiyo ya kukabidhi imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, wakati ikiwasilishwa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) wakati akisomwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



KAIMU Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali akisoma Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kabla ya kumkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar



KAIMU Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali akisisitiza jabo wakati akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...