Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Mahakama ya
Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’
Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and
peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and
peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021. PICHA NA IKULU.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...